#ZamuYako2015

Error message

  • Warning: Illegal offset type in isset or empty in DrupalCacheArray->offsetGet() (line 365 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: array_key_exists(): The first argument should be either a string or an integer in DrupalCacheArray->offsetGet() (line 365 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: Illegal offset type in isset or empty in SchemaCache->resolveCacheMiss() (line 3288 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: Illegal offset type in SchemaCache->resolveCacheMiss() (line 3289 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: Illegal offset type in DrupalCacheArray->persist() (line 403 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mgombea Urais Zanzibar kwa Tiketi ya CCM.
Dr. Ali Mohamed Shein
Uchaguzi
X
Mgombea Urais Zanzibar kwa Tiketi ya CCM.
Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dr. Ali Mohamed Shein alipokuwa akipiga kura #ZamuYako2015
Waziri Mkuu akipiga kura.
Mizengo Pinda
Uchaguzi
X
Waziri Mkuu akipiga kura.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga kura kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni Mlele. #ZamuYako2015
Nimetekeleza wajibu wangu kama mtanzania.
salma
Uchaguzi
X
Nimetekeleza wajibu wangu kama mtanzania.
Piga kura kwa faida yako na ya wake wasiofikia umri wa kupiga kura.
Tulinde amani yetu.
Joyce
Uchaguzi
X
Tulinde amani yetu.
Tuwe wavumilivu, na tuilinde amani ya nchi yetu.
Tusubiri matokeo kwa utulivu.
Juma Andrea
Uchaguzi
X
Tusubiri matokeo kwa utulivu.
Nawasihi tu wananchi wawe na utulivu wakati wa kusubiri matokeo ya wagombea tulio wachagua
Nishatekeleza haki yangu ya msingi.
Anglicious Minja
Uchaguzi
X
Nishatekeleza haki yangu ya msingi.
Nimepiga kura kwa faida yangu na ya wenzangu.
Nimechagua viongozi kwa maendeleo yangu
Jokate
Uchaguzi
X
Nimechagua viongozi kwa maendeleo yangu
Nimeshafanya maamuzi na kuchagua viongozi wangu kwa maendeleo ya Tanzania #ZamuYako2015
Mgombea Urais Tanzania kwa Tiketi ya CCM.
earadiofm
Uchaguzi
X
Mgombea Urais Tanzania kwa Tiketi ya CCM.
Mgombea Urais Tanzania kupitia CCM Dkt.John Pombe Magufuli amepiga kura leo huko Chato Mkoani Geita.
Mgombea Urais Tanzania kwa Tiketi ya CHADEMA
earadiofm
Uchaguzi
X
Mgombea Urais Tanzania kwa Tiketi ya CHADEMA
Mgombea urais wa CHADEMA/ UKAWA @edwardlowassatz akipiga kura Monduli Jijini la Arusha leo #ZamuYako2015
Mgombea Urais Zanzibar kwa Tiketi ya Chama cha Wananchi CUF
earadiofm
Uchaguzi
X
Mgombea Urais Zanzibar kwa Tiketi ya Chama cha Wananchi CUF
Maalim Seif Sharif Hamad wa Chama cha Wananchi (CUF) akipiga kura visiwani Zanzibar #ZamuYako2015
Tulinde amani yetu kipindi hiki cha uchaguzi.
John Albert Chuwa.
Hamasisha
X
Tulinde amani yetu kipindi hiki cha uchaguzi.
Mimi kama kijana napenda kuwambia vijana wezangu tufanye uchaguzi wa heshima na kulinda amani ya nchi yetu.
Kura ni haki ya kila Mtanzania.
THOMAS ANTONY.
Hamasisha
X
Kura ni haki ya kila Mtanzania.
Watanzania wenzangu tujitokeze kwa wingi kuwachagua viongozi wazalendo na wenye uwezo wakuiongoza nchi yetu na kuleta maendeleo.
Tujitokeza kwa wingi kupiga kura.
El_shaddai Cuthbert
Hamasisha
X
Tujitokeza kwa wingi kupiga kura.
Watanzania tujitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura October 25 hasa vijana ili kuchagua kiongozi atakaye leta MABADILIKO katika Taifa letu.
Tusishawishiwe kumpigia kura mgombea yeyote.
Mary Mboya.
Hamasisha
X
Tusishawishiwe kumpigia kura mgombea yeyote.
Tusidangnyike na ushabiki wa watu wengine, tuangalie mgombea ambae atawaletea maendeleo chanya, Pia vijana tusikubali kushawishika kumpigia kura mgombea fulani.
Tupige kura kwa maendeleo ya taifa letu.
Allen
Hamasisha
X
Tupige kura kwa maendeleo ya taifa letu.
Watanzania tuliojiandikisha tukapige kura 25 October tumchagua kiongozi mwadilifu na mchapakazi kwa maendeleo ya nchi yetu.
Tufanye uchaguzi wa huru na haki.
Elikunda Gladson
Hamasisha
X
Tufanye uchaguzi wa huru na haki.
Ni wajaribu kufanya maamuzi sahihi kwa kwa kupima hoja za wagombea na sio kufuata mkumbo, tufanye uchaguzi wa huru na haki ili kudumusha amani ya nchi yetu.
Tusishawishiwe na mtu yeyote kufanya fujo siku ya uchaguzi.
Sunday Msongera.
Hamasisha
X
Tusishawishiwe na mtu yeyote kufanya fujo siku ya uchaguzi.
Watanzania wote tupige kura Oct 25 kwa amani tusishawishiwe na mtu yeyote kufanya fujo. Amani itawale.
Hatma ya taifa letu ipo mikononi mwetu.
EDWIN C. MBAULE
Hamasisha
X
Hatma ya taifa letu ipo mikononi mwetu.
Vijana wenzangu tujitokeze Tarehe 25 tukapige kura na watanzania wote kwa ujumla waliojiandkisha tusifanye uzembe, hatma ya taifa letu ipo mikononi mwetu.
Tusikilize sera za wagombea.
Emmanuel Komba
Hamasisha
X
Tusikilize sera za wagombea.
Watanzania tuchunguze kwa makini sera za viongozi kabla ya maamuzi.
Tuchague viongozi wawajibikaji.
MDUDU LUTOBEKA.
Hamasisha
X
Tuchague viongozi wawajibikaji.
Watanzania tuchague kiongozi bora atakaeweza kukidhi haja zetu na akaeweza kulinda rasimali za watanzania. #ZamuYako2015
Kura ni haki yako ya msingi.
Fadhil Sadick Abubakar
Hamasisha
X
Kura ni haki yako ya msingi.
Tutunze vitambulisho vyetu ili tupige kura, kura ni haki ya msingi kwa kila mtanzania mwenye vigezo.