Jumatano , 2nd Jun , 2021

Captain wa Bongo Fleva, Tunda Man amedokeza kurejea kwenye muziki mdogo wake Richard baada ya takribani miaka 9 kupita tangu watoe wimbo wao ‘Basi Imba’ na kufanikiwa kufanya vizuri sokoni.

Picha Msanii Tunda Mani

Msikilize Tunda man akielezea kurejea kwa mdogo wake akiwa na Management mpya.