Jumanne , 27th Sep , 2022

Msanii Barnaba Classic amewatolea uvivu watanzania kwa kusema ni wanafki sana baada ya kusaidiwa kufanya Album yake mpya ya Love Sounds Different na Diamond Platnumz bila malipo.

Picha ya Barnaba Classic na Diamond Platnumz

Zaidi mtazame hapa Barnaba Classic akizungumzia hilo kupitia ya #eNewz ya East Africa TV.