Jumatatu , 23rd Mei , 2022

Mchekeshaji Idris Sultan anayewakilisha 'A Town' Arusha ametaja sifa za wadada wa Arusha kwa kueleza kwamba wanajifanya ma-gangster lakini wanapenda wanaume wanaolalamika.

Picha ya Idris Sultan

"Wadada waliokuzwa Arusha wanajikutaga tu ma-gangster ila ndo kama hivi wanapenda wanaume wanaolalamikalalamika, oo najiua ooo naumia"

Idris Sultan ametaja sifa hiyo za wadada wa Arusha baada ya post ya Marioo akiwa na Mimi Mars ambao inasemekana ni wapenzi kwa sasa.