VIDEO: Mzigo nimezaliwa nao - Snura

Friday , 19th May , 2017

Msanii wa bongo fleva Snura Mushi maarufu kama Malkia wa uswazi mwenye 'hit song' ya 'nionee wivu' amefunguka na kudai hajawahi kutumia dawa za kichina za kuongeza makalio kama watu wanavyomwambia bali umbo lake ni 'original'.

Msanii wa bongo fleva Snura Mushi

Snura amesema hayo kupitia eNewz kutoka EATV baada ya watu wengi kuamini mwanadada huyo anatumia dawa za kuongeza maungo yake ya mwili kama baadhi ya wanawake wengini wa mjini wanavyofanya ili waweze kuwapata kuwanasa wanaume kiuwepesi zaidi.

Nina utofauti kidogo jinsi nilivyoumbwa mimi kiukweli ukiacha hiyo shepu yangu watu wanayoiongelea …Mimi ukiniangalia tu unajua tu ni ‘Original’ kwa sababu kwanza naweza kuongeza kalio kwa kuliongeza lakini je na nilivyokatika ? naweza kuchukua kisu nikajichimba, mimi nilivyo hapa katikati nimetumbukia kabisa yaani nimegawa mgongo pekee yake na chini peke yake". Alisema Snura

 

Recent Posts

Current Affairs
Rais Mugabe atumbuliwa

Msanii Irene Uwoya.

Current Affairs
Uwoya otokwa povu kisa mtoto

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi.

Current Affairs
Serikali kuvunja nyumba zilizojengwa bila kibali