Jumamosi , 13th Mar , 2021

Moja ya Surprise zilizofanyika kwenye usiku wa kukaribishwa msanii Anjella kwenye lebo ya Konde Gang basi uwepo wa wasanii wengine wakubwa Bongo kama Q Chief, TID, Christian Bella, Ben Pol ambao wote walipanda stejini kufanya show.

Msanii Harmonize akiwa na Q Chief

Sasa moja ya kituko kilichotokea ni pale msanii Q Chief alipomuona mpenzi wa Harmonize Kajala ambapo akatoa maneno ya utani yanayosema 

"Hee Kajala nilikuwa sijakuona kweli amependeza huyu mtoto umemgharamia, hapa mdogo wangu Harmonize ndipo utakapoenda jela ndio maana umeikomalia ile kesi mtoto mzuri huyo

Aidha kingine alichofanya Q Chief ni kuomba mabuansa wampe pesa zake ambazo alikuwa anatunzwa stejini wakati anaimba "Baunsa usiende mbali na hizo hela hebu lete tuchukue mafuta isije kuleta matatizo, sisi hatuna hela tuna wake na watoto halafu mnaelewa kila kitu nido maana tunatukanana kila siku".

Zaidi tazama tukio zima hapa chini.