Jumatatu , 26th Sep , 2022

Mwanamziki wa bongo fleva, Jaffarai amekuwa kimya kwa muda mrefu bila kuachia wimbo mpya na kujikita katika biashara zake kwa sasa.

Mwanamziki Jaffarai.

Jaffarai amepiga story na East Africa TV na kuonyesha ofisi yake ya kuosha magari ambayo inamuweka nje ya muziki kwa sasa.

Pia amefunguka na kuhusiana mkasa uliowahi kumkuta miaka ya nyuma kwa kuvamiwa na kundi la watu zaidi ya 100 akiwa maeneo ya Coco Beach, Dar es Salaam