Jumatatu , 27th Jun , 2022

Marioo Toto Bad ametuambia kabla haijatoka ngoma yake ya naogopa alimtumia Harmonzie nyimbo kama 30 kisha akachagua waanze na hiyo. 

Upande wa kushoto ni Marioo, kulia ni Harmonize

"Nakumbuka nilimsikilizisha Kondeboy Harmonize ngoma kama 30, zote aliwaka nazo mixer kama kudata na yale ma-sound lakini akanambia em tuanze na hii naogopa kwanza".

"Salute sana my bro najua ngoma ulizochagua zote zitakuwa hits kubwa kama hii au zaidi tuseme Inshaalah".

Audio ya ngoma hiyo kwa sasa imesikilizwa na watu Milioni 1.6 na video yake imetizamwa mara Milioni 5.6 mtandao wa Youtube mpaka sasa.