Alhamisi , 29th Sep , 2022

First Born wa lebo ya Konde Gang Ibraah amesema kwake muziki ni zaidi ya chakula kwa sababu unampa hisia kubwa na ameupambania tangu anasoma darasa la pili shuleni.

Picha ya msanii Ibraah kutoka Konde Gang

Ibraah amesema anaupenda muziki, unampa nguvu na umemfanya kufika alipo sasa hivi. 

Zaidi mtazame hapa Ibraah akizungumzia hilo.