Jumatatu , 26th Sep , 2022

Rapa Moni Centrozone amefunguka kuwa anamkubali na kumthamini staa wa mziki wa BongoFleva nchini Alikiba kwa sababu ya kumpa maisha na umaarufu mdogo wake ChuiChui.

Picha ya Moni Centrozone na Alikiba wakiwa pamoja

Moni amesema kitendo hicho cha Alikiba kumsaidia Mke wake kimemfanya mdogo wake kuukimbia umaskini na kupiga hatua kimaisha.

Zaidi msikilize hapa Moni Centrozone akizungumzia suala hilo.