Jumapili , 22nd Mei , 2022

Baada ya Marioo kuachia collabo ya naogopa akiwa na Harmonize Jeshi huenda ukasikia collabo nyingine kutoka kwake akiwa na mastaa wawili wa mziki Bongo Diamond Platnumz na Alikiba.

Kutoka upande wa kushoto ni Marioo, Diamond na Alikiba

Marioo ameweka wazi hilo kupitia Insta Story yake kwa kujibu collabo hizo zitakuja hivi karibuni baada ya mashabiki wake kuulizia kuhusu kufanya kazi na wasanii hao Diamond na Alikiba. 

Zaidi tazama hapa kwenye video.