Alhamisi , 7th Jul , 2022

Hitmaker wa ngoma ya kubali Lody Music amemtaja Aslay, Marioo na Bright Music kama ni baadhi ya wasanii ambao alikuwa anapenda kuangalia movements zao kwenye mziki kabla hajatoboa.

Picha ya msanii Lody Music

Lody Music amesema "Kabla ya kuingia kwenye mziki nilikuwa napenda kuangalia movements za wasanii wenye umri mdogo".

"Nilikuwa naona wana umri mdogo na wameweza ku-take over watu wanatambua vipaji vyao".

Source : PlanetBongo ya East Africa TV.