Alhamisi , 17th Aug , 2017

Msanii Dully Sykes amesema kitendo cha kumpa msanii Baraka The Prince jina, kwake ni kawaida kwani alishakiona kipaji cha msanii huyo, na hivyo amekuwa baba kwa Baraka The Prince.

Msanii Dully Sykes

Akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dully amesema kitendo cha yeye kumpa jina Baraka ni sawa na kuuwa msanii mmoja huku msanii mwengine akizaliwa, kwani ni jambo la kawaida duniani.

Msikilize hapa akizinguana na Big Chawa.