Jumanne , 5th Jul , 2022

Producer wa mziki Zest Soundkiller amefunguka matukio ya kiki kwenye game kwa kusema yanadhoofisha mziki mzuri hivyo wasanii wangepunguza kufanya matukio hayo.

Picha ya Producer Zest

Akizungumza na PlanetBongo ya East Africa Radio Producer Zest anasema 

"Kiki zinadhoofisha sana kufanya mziki mzuri, wasanii wanatanguliza matukio kuliko mziki inaleta uwaki wangepunguza tu, mziki wa kiki unakuwa mfupi sana kuliko mziki mzuri".