Picha ya Msanii Harmonize na Producer Mr. Simon
Kupitia insta story yake ame-share video akiwa studio na mtayarishaji huyo huku akisikika akisema kuwa albamu ijayo ambayo itakuwa ni ya tatu itaitwa “Arizona” kwasababu ameipika akiwa katika jimbo hilo linalopatikana katika mji mkuu wa Phoenix.
Taarifa zinasema albamu yake ya pili “High School” tayari imekamilika na kinachosubiriwa ni kuachiwa tu.