Hakuna mwanamke anapenda mwanaume - Giggy

Saturday , 12th Aug , 2017

Msanii wa muziki wa bongo fleva Giggy Money amefunguka na kusema kuwa hakuna mwanamke anapenda mwanaume bali wanawake wanapenda pesa tu hivyo amedai yeye sasa hajali kumfurahisha mwanaume kwa umbo lake ila anachoangalia yeye anapiga pesa. 

Mbali na hilo Giggy Money anadai kuwa ndoto zake za kuja kutoka kimapenzi na msanii Wizkid kutoka Nigeria bado ziko pale pale na kusema siku zikitimia atawathibitishia watu kuwa jambo hilo limetimia. 

Mtazame hapa Giggy hapa akifunguka mengi zaidi 

Recent Posts

Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja

Sport
Mayanja awatuliza mashabiki wa Simba

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen 'JB.

Entertainment
Kilio chetu kimesikika- JB