Picha ya msanii Marioo
Kupitia Instagram yake Marioo ameandika kwamba
"Niseme asante kwa mwaka huu kusema kweli nimeupiga mwingi sana, tungekuwa na tuzo zangu zingekuwa tano"
Hivi ndio vipengele alivyoviorodhesha Marioo endapo kungekuwa na tuzo hizo
1. Best male Artist
2. Best song of the year - Bia Tamu
3. Best video of the year - Bia Tamu
4. Best Collaboration of the year - Loyalty
5. Audience Choice