Mwakyembe afiwa na mkewe

Sunday , 16th Jul , 2017

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe amepatwa na msiba wa kufiwa na mke wake Bi. Linah George Mwakyembe usiku wa kuamkia leo.

Bi. Linah alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa matibabu hadi umauti  ulipomkuta.

Recent Posts

Mshambuliaji wa Yanga Mrundi Amis Tambwe yuko fiti kuwavaa wakata miwa wa Azam FC.

Sport
Tambwe arejesha matumaini Yanga
Current Affairs
Nassari amjibu Polepole