Tanzania yaisaidia Kenya madaktari 500

Saturday , 18th Mar , 2017

Rais Magufuli akubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia utoaji tiba baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo Ikulu yathibitisha.

Rais Kenyatta akifurahi jambo la Rais Magufuli walipokutana na kufanya mazungumzo Arusha kipindi cha nyuma.

Rais Magufuli amekubalina na ombi hilo leo tarehe 18 March 2017 baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Wizara ya Afya ya Kenya uliotumwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Uhuru Kenyatta.

Recent Posts

Nahodha wa Mchenga BBall Stars Mohamed Yusuph akimuwekea kizingiti mchezaji kutoka TMT, Erick Lugora.

Sport
Mchenga BBall Stars yawakalisha TMT

Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokwa

Current Affairs
TUCTA yataka waliofukuzwa vyeti feki kulipwa