Ijumaa , 27th Mei , 2022

Wakala wa Maji nchini Singapore (SWA). wamesema katika kukabiliana na utunzani wa mazingira pamoja na vyanzo vya maji wameamua kutengeneza bia kwa kutumia maji taka ikiwemo mkojo ili kuepusha matumizi ya maji safi mengi nchini humo

Mamlaka hiyo inasema bia hiyo itawahamasisha watu kuongeza uelewa kuhusu uhaba wa maji na kutafuta suluhisho mpya la tatizo la maji, huku wataalamu wa afya wakisema bia hiyo ni salama na maji yaliyotumika yamesafishwa

Wataalam nchini humu wanasema maji taka yanayokusanywa yanasafishwa na kuwa masafi ndipo yanatumika kutengeneza bia hiyo