Jumatano , 21st Sep , 2022

Zaidi ya  shilingi bilioni mbili zinatarajiwa kutumika kukarabati miundombinu ya barabara za ndani ya viwanja vya maonesho ya kimataifa ya Julius Nyerwre maarufu kama sabasaba kufuatia miundombinu hiyo kuchakaa 

Akizungumza leo jijini Dar es salaam wakati wa kikao cha tathimini juu ya maonesho ya 46 ya kimataifa ya biashara yaliofanyika mwezi Julai mwaka huu Kaimu Mkurugenzi wa idara ya ukuzaji biashara  kutoka tantrade Fortunatus

Muhambe  amesema TANTRADE wanaendelea kufanya marekebisho baada ya maoni ya wadau ikiwemo kulalamikia changamoto ya miundombinu. vyoo. na siku za maonesho ambapo kuhusu siku za maonesho bado wataendelea kujadiliana na wizara.

Kwa upande wake kaimu mkurugenzi wa mamalaka ya biashara tantrade twilumba mlelwa amesema maonesho ya kimataifa ya 46 yaliomalizika  mwesi julai mwaka huu yamekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo ongeseko la washiriki wa ndani na nje huku pia yakionekana kukua katika utoaji elimu kwa wqfanayabaishara.

Nao baadhi ya wadau wa mamlaka ya baishara nchini tantrade wamesema  changamoto kubwa katika maonesho ya kimataifa ya baishara ni  pa moja na miundombinu kuwa mibovu.kodi kubwa pa moja na na meneo mwngìne ambayo ymekuwa kikwazo kwa washiriki.

Katika maonesho ya kimataifa ya 46 ya baihsara yaliohitimishwa julai mwaka huu jumla ya wahudhuliaje lakitatu walishiriki .huku makampuni ya ndani yakiongezeka na kufikia 76 kati ya makampuni 3200 yakioshiriki huku mikataba ya shilingi bilioni 176 ikisaniwa