QUICK PROFILES

NURDINI MUSTAFA
+

Nimezaliwa mwaka 1997 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 5 nina kaka  4

Mtaani kwangu najulikana kwa DANCER

Mimi nimesoma mpaka FORM TWO

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni SINA KAZI YOYOTE 

JAMES ENGRIBETI KALIGO
+

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 

Ninaishi VUNGUNGUTI na WAZAZI WOTE WAWILI

Mtaani kwangu najulikana kwa VIPAJI VYANGU

Mimi nimesoma mpaka FORM FOUR

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KURAP

 

YASINI HAJI MOHAMEDI
+

Nimezaliwa 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi nim mtoto wa 4 katika familia ya watoto 6 nina kaka 2 na dada 3

Ninaishi TEMEKE na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa KISIKI

Mimi nimesoma mpaka FORM FOUR

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KURUKA SARAKASI

 

NIMKA MKOLAS
+

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 6 katika familia ya watoto 6 Nina kaka 2 na dad 3

Ninaishi KIWALANI na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa B-BOY ZUNGU

Mimi nimezoma mpaka FORM FOUR

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: KINYOZI

 

Group Videos

WAKALI SISI- FAINALI
WAKALI SISI- FAINALI
Play Video
WAKALI SISI- FAINALI

Mabingwa wa Dance 100% (2014) wakitupa karata yao ya mwisho ndani ya Fainali.

WAKALI SISI-TANO BORA
WAKALI SISI-TANO BORA
Play Video
WAKALI SISI-TANO BORA

Moja kati ya makundi yaliyoingia Fainali ni hili hapa. Angalia safari yao

NUSU FAINALI - Wakali Sisi
NUSU FAINALI - Wakali Sisi
Play Video
NUSU FAINALI - Wakali Sisi

Kuwapagawisha majaji haikua kazi nyepesi.

ROBO FAINALI - Wakali Sisi
ROBO FAINALI - Wakali Sisi
Play Video
ROBO FAINALI - Wakali Sisi

Noma sana, hawa ni washindi watatu Dance 100 (2013).